Ibn Zura

Na lau kuwa kila nafsi iliyo dhulumu inamiliki kila kiliomo duniani, bila ya shaka ingeli toa vyote kujikombolea (Kuran 10:54)

Tazama, Mwana Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu! (Yohana 1:29)

Huu Mtandao wa Ibn Zura ni mjadala wa Wakristo na Waislam na sio wa kushambulia au kukwaza imani ya mtu yeyote, ila ni kusaidia watu kupata majibu yao. Waisalm ambao wameingia katika upeo wa Wakristo, wana tafuta kuelewa wafuasi wa Yesu Kristo na namna ya maisha. Wanahusika na kuelewa asili ya Ukristo.Kama Muislam unahitaji thibitisho kuhusu dini yako mwenyewe. Maswali ya kawaida kwa binadamu wa kawaida kama: Ni vipi naweza kuwa mwenye haki? Yesu ni nani? Je Isa katika Kuran ni sawasawa na Yesu katika Bibilia? Je yeye alikuwa tu ni nabii mwingine?

Maswali? Tafadhali, wasiliana nasi: